Urusi Yakitambua Chama cha Mwamko wa Kiislamu cha Tajikistan kama Shirika la Kigaidi
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mahakama ya Upeo ya Shirikisho la Urusi iliridhika na dai la Afisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu la kukitambua Chama cha Mwamko wa Kiislamu cha Tajikistan (IRPT) kuwa shirika la kigaidi. Imeripotiwa na RAPSI