Uhakiki wa Habari 08/10/2022
- Imepeperushwa katika Vichwa vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ushindani mkali kati ya dola kuu za ulimwengu umekuja kuathiri karibu kila sehemu ya maisha. Wiki hii, kibaraka wa Marekani, Saudi Arabia ilipunguza kidogo uzalishaji mafuta ghafi ili kuendeleza bei ya juu ya mafuta.