Turkestan Mashariki ni Jeraha la Umma Linalovuja Damu
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo siku ya Ijumaa Septemba 16, baada ya Swala ya Ijumaa katika Misikiti ya Hajibayram jijini Ankara na Fatih jijini Istanbul, mauaji ya kinyama yaliofanywa na Makafiri wa Kichina kwa Waislamu wa Uighur huko Turkestan Mashariki ulipingwa vikali kupitia taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Koklu Degisim pamoja na ushiriki mkubwa wa Waislamu.