Umwagaji damu ya Watu wa Shabwa, Jukumu lake liko juu ya Waliotoa Maagizo ya Kuimwaga
- Imepeperushwa katika Yemen
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Jumatano, 10/8/2022, Rais wa Baraza la Uongozi wa Rais, Dkt. Rashad Al-Alimi alitoa taarifa ya ufafanuzi kuhusu matukio ya jimbo la Shabwa.