- Imepeperushwa katika Hotuba
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote, Muweza wa yote, Mwenye nguvu, Aliyetukuka, Mkuu.
Kuhuisha Sunnah ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) katika siku kumi za mwanzo za Dhul-Hijjah.
Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 57 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Ni Wakati Sasa kwa Majeshi ya Pakistan Kuweka Mambo Sawa katika Eneo Letu.
Mwenyezi Mungu (swt) amfufue Meja Khalid Butt akiwa hana dhambi, kwa maradhi makali aliyoyavumilia kwa subira ya hali ya juu. Mwenyezi Mungu (swt) aipe Subira Njema familia yake kwa msiba huu mkubwa.
Shukrani kwa Mwenyezi Mungu na fadhila zake, Waislamu wa Gaziantep walikusanyika katika uwanja huo, wakiitikia wito wa Hizb ut Tahrir,
Vita vya sasa nchini Ukraine vimechokonoa boksi la Pandora la mjumuiko mpya wa mambo magumu na mizozo kote duniani ambapo vita havielekei kumalizika karibuni.
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Julai 2022 M.