Amerika na Mabadiliko katika Mawakala wake nchini Pakistan
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Al Jazeera English iliripoti mnamo tarehe 28/04/2022 kwamba, “Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif amemteua Bilawal Bhutto-Zardari, mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani Benazir Bhutto, kama waziri wa mambo ya nje...