Wilayah Pakistan: Turegeshe Ngao Yetu!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Turegeshe Ngao Yetu, Khilafah ili Majeshi Yetu Hatimaye Yaweze Kupaza Sauti za Takbeeraat za Ushindi ndani ya Srinagar na Al-Aqsa
Turegeshe Ngao Yetu, Khilafah ili Majeshi Yetu Hatimaye Yaweze Kupaza Sauti za Takbeeraat za Ushindi ndani ya Srinagar na Al-Aqsa
Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kilizindua kampeni ya kiulimwengu kwa anwani, “Familia: Changamoto na Suluhisho la Kiislamu” ambayo itamalizikia katika kongamano la kimataifa la wanawake mwishoni mwa Oktoba litakalo hudhuriwa na wazungumzaji kutoka pembe zote za dunia.
“Ndoa ya mapema ni tabia ya aibu." "Ndoa ya mapema ni msiba kwa mvulana na msichana." "Ndoa za mapema hupelekea matatizo ya kiakili, kiafya na kifamilia na kupoteza haki za watoto.
Maana ya uharibifu katika makala hii ni fujo na machafuko yanayo athiri mamilioni ya familia kutoka Magharibi kuelekea Mashariki na limekuwa janga la kibinadamu ambalo limesababishwa pakubwa na msukumo wa harakati za kuwawezesha wanawake.
Ujumbe wa Afghan kwa Umoja wa Mataifa (UN) umeunda “Kundi la Marafiki,” linalosimamiwa na Uingereza na kujumuisha wawakilishi wa wanawake kwa UN na maafisa wakuu wa UN.
Mjadala umetanda ndani ya mitandao ya kijamii nchini Pakistan kuhusiana na video kupitia twitter kutoka kwa mwanajeshi mkuu wa majeshi ya majini akilingania Uislamu kutawala dunia.
BBC iliripoti kuhusiana na kupambamoto kwa janga la Rohingya huku idadi ya wanaotarajiwa kushtakiwa dhidi ya serikali ya Myanmar ikiwasilishwa katika mahakama za kimataifa na Venezuela na Gambia.
Ujumbe kutoka kwa Kaka Ismail al Wahwah (Abu Anas), Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Australia, mbele ya Makao Makuu ya Waziri Mkuu wa Malaysia kuhusiana na kongamano ndani ya Kuala Lumpur.
Hotuba iliyotolewa na Kitengo cha Habari cha Hizb ut Tahrir ndani ya Wilayah ya Kuwait kuhusiana na uchaguzi wa 2016 wa Baraza la Kitaifa la Kuwait na hukumu ya Kiislamu kuhusiana na unaoitwa (mchakato wa kidemokrasia).