Jarida la UQAB Toleo 84 - Januari 2024
- Imepeperushwa katika Jarida la UQAB
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Januari 2024 M.
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Januari 2024 M.
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Disemba 2023 M.
Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na Mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu ya (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile nyakuzi la Kiyahudi ambalo liliendelea na mashambulizi yake dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji na upigaji mabomu wa kuendelea wa Ukanda wa Gaza kwa miaka 17
Twamuomba Mwenyezi Mungu amfinike kwa Rehema zake na amjaalie Firdaus ya juu kabisa Peponi.
Uhalifu mwingine mpya imeongezwa katika orodha ya ukatili unaofanywa na serikali ya China inayoendesha vita vikali dhidi ya Uislamu na Waislamu. Utawala wa China ulitangaza kifo cha Syed Jahan Muhammad Khanovich Nodirov kutoka Andijan, mwanachama wa Hizb ut Tahrir, mnamo Novemba 28, 2023.
Gazeti la ‘The Guardian’ liliripoti mnamo 24 Disemba 2023, “Kwa uchache watu 166 wameuwawa tangu Jumamosi, wizara ya afya katika eneo linalo endeshwa na Hamas ilisema, ikifikisha idadi ya waliouwawa hadi 20,424, ingawa maelfu zaidi wanaaminika kuzikwa chini ya vifusi.
Maandamano “Idlib Inapigwa Mabomu na Gaza Inaangamizwa, Lini Majeshi Yatatangaza Jihad?”
Huku umbile halifu la Mayahudi (Wazayuni) likiendelea na ulipuaji mabomu wa kinyama na kikatili wa Gaza, wanawake na watoto ndio wanaohimili uzito wa mauaji haya ya halaiki ambayo yamesababisha vifo na majeraha kwa zaidi ya wanaume na wanawake wa Kiislamu elfu 72 hadi kufikia sasa
Wizara ya Ulinzi ya Marekani ilitoa taarifa ifuatayo mnamo 18 Disemba 2023, "Taarifa kutoka kwa Waziri wa Ulinzi Lloyd J. Austin III juu ya Kuhakikisha Uhuru wa Urambazaji katika Bahari Nyekundu.