Hizb ut Tahrir/ Uholanzi: Semina Maandamano ya Halaiki yenye Kichwa "Ikomboeni Palestina!"
- Imepeperushwa katika Uholanzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Uholanzi iliandaa maandamano ya halaiki yenye kichwa "Ikomboeni Palestina" katika mji wa Amsterdam mnamo Jumapili 22/10/23 saa nane adhuhuri na kukamilika kwa kuyaomba majeshi na viongozi wake kutaharaki na kusonga kwa ajili ya kuikomboa Ardhi iliyobarikiwa ya Palestina.