Jumamosi, 02 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Jibu la Swali: Ziara ya Blinken Nchini China

CGTN (Chinese Global Television Network) ilichapishwa tarehe 30/6/2023: (Wizara ya Mambo ya Nje ya China iliikosoa Marekani kwa kutoa matamshi ya kutowajibika kuhusu uhusiano wa nchi hizo mbili. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken alisema katika mahojiano mapema kwamba Washington itaendelea kutetea maslahi yake binafsi

Soma zaidi...

Sudan Inavuja Damu na Inalilia Msaada... Je, Kuna Mwokozi kwa Watoto na Wanawake?

Mnamo tarehe 15/4/2023, mapigano yalizuka jijini Khartoum kati ya jeshi na Vikosi vya Msaada wa Haraka. RT mtandaoni ilinukuu yafuatayo kutoka kwa AFP: "Mapigano yanaendelea kati ya jeshi na Vikosi vya Msaada wa Haraka huko Khartoum, wakati ambapo shirika moja la misaada lilionya juu ya mlipuko wa ukambi na utapiamlo miongoni mwa watoto katika kambi za waliohamishwa, na unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake.''

Soma zaidi...

Umma wa Kiislamu kamwe "hautahalalisha mahusiano" ya ukiukaji matukufu. Badala yake, Khilafah Itaifunga Mikono na Ndimi Ovu Kunyamaza Kimya

Nchi za Magharibi zinaushambulia Uislamu bila kuchoka. Zinachafua heshima ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw), kwa kuchora katuni, na kuchoma Quran Tukufu. Hii ni ili Waislamu wasiwe na hisia na "kuhalalisha mahusiano" na ukiukaji wa matukufu ya Uislamu. Msururu huu wa mashambulizi ulianza katika zama za hivi karibuni na Salman Rushdie na Taslima Nasrin.

Soma zaidi...

Mzigo wa Fedha

Kenya: Baada ya mswada wa fedha kupitishwa na kutabanniwa na Serikali, sera ya ushuru ilinyanyua kwa kiasi kikubwa wigo wote wa uchumi. Kutabanniwa huku kumezalisha upinzani mkali na hasa wenye utata kuhusu ongezeko la ushuru la 8% kwenye bidhaa za mafuta, ushuru wa nyumba wa 1.5% kwenye mapato, pia ushuru wa 1.5% ya kwa maudhui ya kidijitali na mengi zaidi.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu