Jumamosi, 02 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

India ina Shaka juu ya Mahusiano ya Marekani

Marekani iliondoa vizuizi vyote wakati Waziri Mkuu wa India Narendra Modi alipozuru Marekani mwishoni mwa Juni katika ziara rasmi ya kiserikali. Modi, ambaye wakati fulani alinyimwa visa ya kusafiri kwenda Marekani kwa sababu ya wasiwasi juu ya haki za binadamu, alikula na kulala katika Ikulu ya White House na hata kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Congress.

Soma zaidi...

Uhakiki wa Habari 12/07/2023

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amekubali kuunga mkono uanachama wa NATO wa Sweden katika mkesha wa kuamkia mkutano wa siku mbili wa NATO nchini Lithuania. Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg alisema kuwa Erdogan amekubali kuwasilisha itifaki za kujiunga kwa Sweden kwa Bunge la Uturuki, Bunge Kuu la Kitaifa, ambalo linahitaji kuidhinisha uanachama wa NATO wa Stockholm.

Soma zaidi...

Na Madhara Yanaendelea...

Katika nia ya kuuridhisha Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF), serikali ya Pakistan imetangaza kuondoa mara moja vikwazo vya kuagiza bidhaa kutoka nje. Hata hivyo, jumuiya ya wafanyibiashara na wachambuzi wote wanaamini kuwa hatua hii pekee haitaleta mabadiliko makubwa katika shughuli za kibiashara za kiutendaji isipokuwa akiba ya fedha za kigeni itaimarishwa kwa kiasi kikubwa. (Tribune)

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu