Jumamosi, 19 Safar 1446 | 2024/08/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mama, Mke, na Mke Nyumbani: Malipo ya Utumwa wa Uzaaji Watoto! Hivi Ndivyo Namna Usekula Ulivyo Yafisidi Maisha ya Wanawake!

Nini maana ya mwanamke kuwa mama, mke na mke nyumbani kwa mujibu wa itikadi inayokataa maadili yote ya utu, akhlaqi, au ya kiroho kwa sababu inaona kuwa manufaa ndio kipimo cha vitendo na kwamba manufaa ndio mizani na kinacho pimwa? Itikadi hii huona kuwa wanadamu huthaminiwa kwa mujibu wa uzalishaji wao ndani ya mujtamaa na kwa kiwango cha mapato yao ya kimada!

Soma zaidi...

Mkono Mrefu wa Serikali Zinazotawala Katika Nchi za Waislamu ili Kuzifisidi na Kuzitia Usekula Familia!

Tunapozungumzia kuhusu familia, tunazungumzia kuhusu kiini kinachounda jamii, na hivyo basi, ufisadi wowote au dosari yoyote inayoathiri kiini hiki itaonekana katika jamii na dola nzima, achilia mbali kuzungumzia kuhusu mchakato wa mpangilio wa ufisadi wa kiini hiki, na vipi ikiwa ufisadi huu utafanywa chini ya masikio ya dola na macho yake, bali, ina mkono mrefu ndani yake, unaohisika katika nchi za Waislamu.

Soma zaidi...

“Kuyeyuka kwa Familia” za Mujtamaa wa Kisekula wa Kimagharibi SEHEMU 1: Uhakika wa Kuyeyuka kwa Familia katika Dola za Kisekula za Kimagharibi

Mnamo Aprili 2008, Hakimu Paul Coleridge, jaji anaye husika na mahakama za kifamilia kote Kusini Magharibi mwa Uingereza, alitoa hotuba kwa mawakili wa familia kutoka katika shirika la “Resolution”, ambapo aliyasifu maisha ya familia nchini Uingereza kuwa ni “yenye kuyeyuka” yakidhihirisha janga la kuvunjika kwa familia.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu