Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Ugawanyaji kwa Mara ya Pili, wa Karatasi zenye Kupinga Mfumo wa Makubaliano!
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika muendelezo wa kampeni inayofanywa na Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Sudan dhidi ya mfumo wa makubaliano, hizb iligawanya karatasi kwa mara ya pili mnamo Jumanne tarehe 3/1/2023 M katika Msikiti Mkuu wa Khartoum, kuonyesha ufisadi wa kile kilichoelezwa katika makubaliano hayo, na miongoni mwa yaliyoelezwa ndani yake: Tukatae mfumo wa makubaliano hayo na tuyapinge...