Tajikistan: Ndevu zina Maana ya Kisiasa
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Aprili 26: Mkuu wa Kamati ya Mambo ya Vijana na Michezo ya Tajikistan Abdullo Rakhmonzoda, alikashifu wanablogu wenye ndevu katika mkutano mmoja wa ndani akisema kwamba "upigiaji upatu wa ndevu katika mitandao ya kijamii unatishia usalama wa taifa"."Harakati iliyopigwa marufuku ya Taliban, ambayo ilipindua serikali ya watu nchini Afghanistan, sasa inapigia debe ndevu kwa bidii.