Hakuna Habari Njema Kwenye Riba, Hakuna Baraka Kutoka kwa Mapato Yake
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Rais Erdogan alitaja habari njema kwa wakulima katika taarifa moja baada ya mkutano wa Baraza la Mawaziri.
Rais Erdogan alitaja habari njema kwa wakulima katika taarifa moja baada ya mkutano wa Baraza la Mawaziri.
Mnamo Machi 10, shirika la habari la Interfax-Russia liliripoti: “Wakaazi watano wa Crimea walipokea koloni kwa miaka yote 88 kwa kushiriki katika Hizb ut-Tahrir iliyopigwa marufuku katika Shirikisho la Urusi.
Kabla ya hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Imran Khan, MNAs kadhaa wa PTI mnamo Alhamisi, 17 Machi 2022, walipatikana wakiishi katika Jumba la Sindh, lililoko katika eneo jekundu la mji mkuu wa jimbo hilo.
Kwa mujibu wa mwaliko wa rais Erdogan, rais wa ile inayoitwa Israel Herzog aliwasili jijini Ankara kufanya mazungumzo rasmi.
Mnamo tarehe 04/03/2022, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Freeman Mbowe na watuhumiwa wenzake watatu waliachiliwa huru baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka kufuta mashtaka ya ugaidi dhidi yao.
Mnamo Alhamisi, 24 Februari 2022 Urusi iliivamia rasmi Ukraine na hivi sasa wamo katika vita vikali. Vita hivi ni kupamba moto kwa mzozo baina ya Urusi na Ukraine ulioanza tokea mwaka 2014 kutokana na kubadilishwa kwa uongozi wa Kiev.
Kenya inagubikwa na wasiwasi wa kiwango chake cha madeni kufikia shilingi 9.1 trilioni. Sajili ya hivi punde ya deni la Hazina ya Kitaifa inaonyesha deni la taifa lilifikia Sh 8.2 trilioni kufikia Disemba mwaka jana. Jumla ya mkopo wa nje ulikuwa Sh 4.174 trilioni huku mikopo ya kimataifa ikiwa Sh1.782 trilioni, kibiashara Sh1.208 trilioni na baina ya Sh1.17 trilioni. Kenya huenda ikalazimika kukagua kikomo chake cha deni angalau mara mbili katika muda wa miezi 24 ili kuunda nafasi ya kukopa kwa serikali itakayokuja baada ya ile ya Uhuru Kenyatta.
Rais wa Amerika Joe Biden mnamo Jumatano, 9 Februari 2022 alitoa taarifa kwa kichwa, “Taarifa ya Rais Biden kuhusiana na Utangulizi wa Uidhinishaji Upya wa Sheria ya 2022 ya Kupambana na Ukatili Dhidi ya Wanawake.”
Katika mji mkuu wa Mali, Bamako, mamia ya raia walifanya maandamano wakitaka kikosi cha jeshi la Ufaransa kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo.
Ripoti ya kuogofya ya vifo vya watoto zaidi ya 36 katika wilaya ya Tharparkar, vilivyosababishwa na maradhi mbalimbali katika mwezi wa kwanza wa 2022, imesababisha kizungumkuti kwa serikali ya mkoa. (Tribune Pakistan)