Ijumaa, 27 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Rishi Sunak – Waziri Mkuu Mwanabenki

Kazi ya kwanza ya Rishi Sunak ilikuwa katika benki ya uwekezaji ya Marekani Goldman Sachs. Aliendelea kwa miaka 14 katika sekta hiyo kabla ya kuwa mbunge. Kwa njia nyingi, uteuzi wake ambao si wa kuchaguliwa unaashiria hatua kuu ya utawala mkubwa wa fedha wa mfumo wa kisiasa na kiuchumi wa Uingereza - upenyezaji wa kimya kimya wa Westminster na Whitehall umekuwa ukifanyika kwa miongo kadhaa na bila kutambuliwa.

Soma zaidi...

Sheria ya Kupambana na Upotoshaji wa Habari

Sheria ya Kupambana na Upotoshaji wa Habari, pia inaitwa Sheria ya Mitandao ya Kijamii, imepitishwa na Bunge Kuu la Uturuki na kuanza kutekelezwa. Kwa mujibu wa sheria hii, mtu yeyote anayesambaza hadharani taarifa zisizo za kweli kuhusu usalama wa ndani na nje, utangamano wa umma na afya kwa jumla ya nchi kwa njia inayozua wasiwasi, hofu au kuogopa miongoni mwa umma kwenye mitandao ya kijamii kwa njia inayoleta usumbufu kwa amani ya umma ataadhibiwa kwa kifungo kuanzia cha mwaka 1 hadi miaka 3.

Soma zaidi...

Pindi Waokozi wanapofanywa kuwa Wahanga

Kiongozi wa BSP Imran Masood alisema mnamo Jumamosi katika tweet iliyotumwa kwa Kihindi, "Dola inageuka kuwa isiyo salama kwa mabinti chini ya utawala wa CM Yogi Adityanath. Huko Meerut, mwanafunzi wa BDS Vania Shaikh alijiua kwa kuruka kutoka kwenye mtaro, mwanafunzi mwenzake alimnyanyasa kimapenzi hadharani na kumpiga kofi kwa kupinga hilo.”

Soma zaidi...

Afya ya Watoto wa Umma iko Hatarini bila ya Khilafah

Mnamo tarehe 20 Oktoba 2022, BBC iliripoti kwamba Indonesia imepiga marufuku uuzaji wa dawa zote za kikohozi za watoto baada ya watoto 99 kufariki kutokana na kufeli kwa figo. Iligunduliwa kuwa viwango vya juu vya sumu haramu vilikuwepo ndani ya dawa zilizochafuliwa. Maafisa wanahofia kwamba idadi kamili ya vifo haijajulikana kwani dawa hizo zilikuwa na mzunguko mkubwa.

Soma zaidi...

Uingereza Yatangaza Kufilisika, Kwa Kukubali Kutawaliwa na “Watumwa” wa Miaka ya Jana

Rishi Sunak ametoa ombi la umoja katika kukabiliana na "changamoto kubwa ya kiuchumi," baada ya kushinda kinyang'anyiro cha kuwa waziri mkuu mpya. Alishinda kinyang'anyiro cha uongozi wa Tory baada ya mpinzani wake Penny Mordaunt kushindwa kupata uungwaji mkono wa kutosha kutoka kwa wabunge. 

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu