25 Februari "Maasi ya BDR" Kumbukumbu ya Usaliti wa Serikali ya Hasina dhidi ya Jeshi letu na Ubwana wetu
- Imepeperushwa katika Bangladesh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Leo inatimia miaka 15 ya njama mbaya ya serikali ya Hasina ya kulidhoofisha jeshi la nchi hii iliyotokea katika makao makuu ya BDR (Bangladesh Rifles) katika Pilkhana ya mji mkuu Dhaka. Katika tukio hilo, jumla ya watu 74 wakiwemo maafisa 57 shupavu na mahiri wa jeshi akiwemo mkuu wa BDR Meja Jenerali Sakil Ahmed waliuawa kwa jina la uasi wa askari wa BDR.