Serikali Inachapisha Mabilioni ya Noti za Sarafu ambazo Zinachochea Moto wa Mfumko wa Bei, na Kisha Kumwaga Machozi ya Mamba huku Watu Wakichomeka ndani ya Moto wake!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Bei ya umeme imeongezeka kwa Rupia 18 kwa kila kipimo tangu Julai mwaka jana. Leo umeme, pamoja na ushuru, ni Rupia 50 kwa kila kipimo. Bei za petroli zinagusa Rupia 300 kwa lita. Kiwango cha mfumko wa bei kiko kiwango cha juu katika historia ya Pakistan.