Jumatatu, 04 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/07
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

“Wanataka kuizima nuru ya Mwenyezi Mungu kwa vinywa vyao. Na Mwenyezi Mungu atakamilisha nuru yake ijapo kuwa makafiri watachukia.” [As-Saff:8]

Tangu kukaliwa kimabavu kwa Iraq mwaka 2003, mvamizi Marekani imekuwa ikicheza karata ya kimadhehebu na hata kuanzisha mfumo wa kimadhehebu na kikabila ili kuisambaratisha nchi hiyo. Waliamua kugawanya sehemu za Masunni na Waarabu kutoka kwa Wakurdi na kutangaza kwamba sehemu ya Mashiya inawakilisha idadi ya walio wengi.

Soma zaidi...

Madai ya Tovuti ya France 24 ni ya Uongo na ya Kashfa katika Jaribio la Mbaya la Kuficha Harakati ya Amani katika eneo la Kaskazini lililo Kombolewa

Katika ripoti ya kushangaza ya vyombo vya habari juu ya ukamataji na maandamano ambayo yamefanyika katika maeneo yaliyokombolewa kwa zaidi ya miezi miwili, waangalizi wa France 24 walitushangaza kwa mkusanyiko wa uwongo wa makusudi ambao chaneli kama France 24 haifai kufanya isipokuwa ikiwa wahariri wake bado wangali chini ya athari ya mshtuko wa maandamano yaliyozuka katika nchi yao iliyokumbwa na mgogoro.

Soma zaidi...

Sudan Inavuja Damu na Inalilia Msaada... Je, Kuna Mwokozi kwa Watoto na Wanawake?

Mnamo tarehe 15/4/2023, mapigano yalizuka jijini Khartoum kati ya jeshi na Vikosi vya Msaada wa Haraka. RT mtandaoni ilinukuu yafuatayo kutoka kwa AFP: "Mapigano yanaendelea kati ya jeshi na Vikosi vya Msaada wa Haraka huko Khartoum, wakati ambapo shirika moja la misaada lilionya juu ya mlipuko wa ukambi na utapiamlo miongoni mwa watoto katika kambi za waliohamishwa, na unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake.''

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu