Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi: Hajj Sami Muhammad Faour (Abu Tariq)
- Imepeperushwa katika Lebanon
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tangu jana usiku, umbile la Kiyahudi limefanya mashambulizi makubwa dhidi ya Jenin na kambi yake, kwa kutumia droni, vifaru vya kivita na magari makubwa ya kijeshi. Pia limetuma mamia ya wanajeshi hadi Jenin katika uadui wake unaoendelea hadi sasa
Mnamo tarehe 18 Juni, 2023, BBC iliripoti juu ya kuzama kwa mashua iliyokuwa imebeba wahamiaji zaidi ya 500 kutoka pwani ya Ugiriki. Picha za mashua hiyo iliyochukuliwa na walinzi wa pwani kabla ya kuzama zinaonyesha mamia ya wanaume wakiwa wamejazana kwenye sehemu ya juu. Mashua hiyo ilitengenezwa kubeba sehemu ndogo tu ya idadi hiyo ya watu.
Hizb ut Tahrir inatoa pongezi za dhati na baraka nyingi kwa Umma wa Kiislamu kwa mnasaba wa Idd al-Adha iliyobarikiwa, ikimwomba Mwenyezi Mungu Mtukufu aifunike kwa siku za furaha, raha na utulivu, na kuuzunguka kwa baraka zake.
Inatupa furaha kubwa katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Yemen kutoa pongezi kwa Ummah mzima wa Kiislamu na kwa wabebaji Dawah wanachama, wa Hizb ut Tahrir, wanaume na wanawake,
Taarifa moja kwa vyombo vya habari iliyotolewa na serikali ya Pakistan mnamo Juni 20, 2023 ilitangaza mpango mpya wa kufufua uchumi. Kimsingi unaungwa mkono na uongozi wa jeshi, na kupewa lakabu ya "Kanuni ya Asim Munir."
Katika siku kumi za mwanzo za Dhul Hijjah, Uislamu umetutaka kutangaza waziwazi Takbir, Tahlil na Tahmid katika maeneo ya umma. Hivyo basi, Hizb ut Tahrir katika Wilayah Lebanon ilitoa wito wa msafara wa gari yakiwa na Rayat (bendera) ya "La ilaha illallah Muhammadur Rasulullah."
Mnamo tarehe 10 Mei 2023, majukwaa fulani ya habari, yakiwemo magazeti na televisheni, yaliripoti kuzuiliwa kwa hadi Waislamu 16 katika miji miwili - Bhopal na Hyderabad.
Takriban wakaazi 15 wa Ende Regency, Nusa Tenggara Mashariki (NTT) - jimbo la visiwa mashariki mwa Indonesia - walikuwa wahasiriwa wa uhalifu wa usafirishaji haramu wa binadamu (ulioripotiwa mnamo tarehe 5 Juni 2023).