Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kadhia za Ummah
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kadhia za Ummah
Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kadhia za Ummah
Urasilimali Unafeli kwa Kila Kipimo: Ni Wakati Sasa wa Uchumi Mpya
Vedat Kurnaz alijitolea maisha yake kama Muislamu mwenye ikhlasi na mwaminifu aliyefanya kazi ya kuregesha tena maisha kamili ya Kiislamu,
Tunaishi katika zama ambazo uongo, habari potofu na tuhma zisizo na msingi ni jambo kawaida kabisa, na marais, mawaziri wakuu na vyombo vikuu vya habari hunadi batili hii kila siku bila ya aibu.
Kabla ya kikao cha majadiliano kilichoandaliwa na jarida la Al-Tahrir mnamo Alhamisi 01 Oktoba 2020 saa kumi jioni katika makao makuu ya Hizb ut-Tahrir yaliyo katika makutano ya Soukra-Ariana chini ya anwani:
Wakati tunapomshukuru Mwenyezi Mungu (swt) kwa kupungua maambukizi ya Covid -19 humu nchini, wakati huo huo tunasikitishwa na hatua ya serikali ya kufungua vilabu vya vileo huku Madrasa za Kiislamu kutogusiwa kamwe
Mahouthi walisherehekea kumbukumbu ya miaka sita ya kuingia kwao Sanaa mnamo Septemba 21, 2014 M, na kama kawaida yake, kwa hotuba ya kurudiwa rudiwa ya kuchosha ya bwana wao duni na butu zaidi Abdul-Malik al-Houthi,
Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kadhia za Ummah
Siku ya Alhamisi Septemba 17, wabunge wa Ufaransa kwa mara nyengine tena waliweka wazi ubaguzi wa rangi, dhidi ya Uislamu, wa serikali ya kisekula uliokithiri nchini Ufaransa kwa upande wa kutoka bila sababu katika kikao cha uchunguzi kilichofanyika katika Bunge la Ufaransa,
Sisi tunaishi katika mazingira ya kupanuliwa kwa mapinduzi ya Januari ambayo hayakuisha, kama Magharibi na wanaume wake miongoni mwa wanajeshi waliochukua madaraka baada ya mapinduzi walivyodhani,