Jumatatu, 04 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/07
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Migawanyiko ya Mipaka Inayopuuza Mafungamano ya Kina ya Kitamaduni na Kihistoria, Inaweza Tu Kuchochea Taharuki ya Mipaka Suluhu ya Kudumu ni Kuwaunganisha Waislamu, Waliogawanywa kwa Mipaka, Chini ya Uongozi Mmoja wa Kisiasa wa Kiislamu, Khilafah

Mnamo tarehe 19 Disemba 2022, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Ned Price, alisema katika taarifa, "Tuko tayari kusaidia, iwe kwa hali hii inayojitokeza au kwa upana zaidi."

Soma zaidi...

Hotuba ya Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan katika Kongamano la Omdurman Al Thawra Al Hara 42 "Khilafah Pekee ndio Dola ya Waislamu"

Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu aliyemtuma Mtume wake kwa uongofu na Dini ya haki ili kuifanya ishinde Dini zote ijapokuwa washirikina watachukia, na rehma na amani zimshukie mjumbe huyo kama rehema kwa walimwengu wote, aliyesimamisha dola ya kwanza ya Uislamu, ukitabikisha hukmu za Mola Mlezi wa walimwengu wote, rehma na amani za Mola wangu Mlezi ziwe juu yake, na jamaa zake na maswahaba wake watukufu, waliounda jengo la Khilafah Rashida, kwa njia ya Utume, na wanaowafuata kwa wema mpaka Siku ya Kiyama.

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Kuwapa Hongera Wakristo na Makafiri Kwenye Sikukuu Zao

Swali langu ni kuhusu kuwapa hongera Wakristo kwa sherehe zao na kushiriki nao, na kilichonisukuma kuuliza swali hili ni jibu la swali la Sheikh Taqiuddin al-Nabhani, Mwenyezi Mungu amrehemu, kuliruhusu hilo, hivyo nataraji kutoka kwenu ufafanuzi wa jambo hili. Pamoja nalo ni jibu la swali la Sheikh Taqi.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu