Vita vya Waterloo: Dhihirisho la Ubepari Halisi
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mifupa ya wanajeshi waliokufa kutokana na Vita vya Waterloo yatumiwa katika viwanda vya sukari.
Mifupa ya wanajeshi waliokufa kutokana na Vita vya Waterloo yatumiwa katika viwanda vya sukari.
Shirika la Anadolu katika makala, "Mamlaka ya Uturuki katika uwanja wa kimataifa yanaongezeka," linatoa mukhtasari wa hotuba ya Rais wa Uturuki Erdogan kwa wawakilishi wa chama tawala cha Haki na Maendeleo.
Japan inazingatia kutuma makombora 1,000 ya masafa marefu ili kuongeza uwezo wake wa kukabiliana na China. Makombora hayo yatakuwa yale yaliyo karabatiwa ili kupanua masafa yake kutoka kilomita 100 (maili 62) hadi kilomita 1,000.
Mwanzilishi mwenza na msemaji wa zamani wa harakati ya Mujahidina ya Al-Shabab, Mukthar Robow ameteuliwa kuwa Waziri wa Masuala ya Kidini na Waziri Mkuu wa Somalia. "Tunakaribisha uteuzi wake. Hatua hiyo itaendeleza maridhiano na itakuwa mfano mzuri kwa uasi wa ngazi za juu kutoka al-Shabab," alisema mchambuzi wa kisiasa Mohamed Mohamud.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Idlib yaliyo anza katika msikiti wa Al-Hussein baada ya swala ya Ijumaa na yakanyanyua kauli mbiu “Jikomboeni kwa Nguvu Kutokana na Utegemezi na Chukueni kwa Nguvu Mradi wa Khilafah...
Takriban wasomi 20 walimwandikia barua Waziri Mkuu Modi wakitaka kupigwa marufuku kwa vitabu vinavyohusiana na Uislamu wa kisiasa katika vyuo vikuu vinavyofadhiliwa na serikali. Pia kumekuwepo na visa vyengine vya vijana wa Kiislamu kukamatwa kwa kushukiwa kujihusisha na ISIS.
Mauaji ya wanawake wadogo yanaendelea. Watu hujishughulisha na sababu na dhurufu za uhalifu mmoja hadi uhalifu mwengine utakapotekelezwa. Matukio ya kikatili yaliwafanya watu washangae kuhusu sababu za vurugu hili la kupindukia, na kuwafanya wadai kutekelezwa kwa aina za juu zaidi za adhabu kama zuio.
Tangazo la uamuzi wa kubadilishana uteuzi wa mabalozi lilichukuliwa kama moja ya hatua za mchakato wa kuhalalisha mahusiano unaoendelea kati ya Uturuki na umbile nyakuzi la Kiyahudi tangu mwaka jana. Wakati Waziri Cavusoglu aliposema: "Kama Uturuki, tumeamua kumteua balozi huko Tel Aviv.
Maandamano ya jioni katika mji wa Idlib kupinga kauli za wizara ya mambo ya nje ya Uturuki kuhusu maridhiano na utawala wa Syria!