Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria Maandamano ya Killi “Hakuna Maridhiano wala Hakuna Suluhisho la Kisiasa na Serikali ya Mhalifu.”
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Killi kupinga kauli za khiyana za hivi karibuni za serikali ya Uturuki zinazotaka kuwepo na mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad, yenye kichwa “Hakuna Maridhiano wala Hakuna Suluhisho la Kisiasa na Serikali ya Mhalifu”.