Hofu ya Wamagharibi kwa Khilafah Inawasukuma Kutumia Nguvu zao ili Kuizuia
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Waislamu wanajua kuwa Wamagharibi hawataki Uislamu uishi katika umbo lenye mamlaka ya utendaji. Wanajua pia kuwa dola zao za kikoloni na vyombo vyao vya habari, vya kijasusi na kisiasa vinafanya kazi muda wote kuzuia kurejea kwa Dola ya Khilafah.