Je, Wakati Haujawadia kwa Mateso ya Waislamu wa Uyghur Kumalizika? Je, Wakati Haujawadia wa Kuipa China Funzo Lisilo Sahaulika?
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika miezi ya hivi karibuni tulisikia ripoti za habari za kupamba moto kwa ukatili wa sera kali za China kwa Waislamu wa Uyghur wanaoishi Mashariki mwa Turkistan, nchi nzuri iliyo Mashariki mwa ardhi ya Waislamu.