Jumatatu, 04 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/07
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Ushujaa wa Watu wa Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina Hauwezi Kushutumiwa!

France 24 iliripoti kwenye tovuti yake, Jumamosi, Januari 28, 2023, kwamba baadhi ya nchi za Kiarabu, ikiwemo Misri, Jordan na Imarati, zililaani shambulizi lililoua angalau 'Waisraeli' saba katika ufyatuliaji risadi uliowalenga waumini karibu na sinagogi la Kiyahudi katika mtaa wa makaazi katika Jerusalem Mashariki inayokaliwa kimabavu.

Soma zaidi...

Kwa Wanajeshi Wenye Ikhlasi wa Mwenyezi Mungu (swt), Kutoka kwa Ummah wa Muhammad (saw)

Enyi maafisa wa Kiislamu wa majeshi ya Waislamu! Tunajua nyoyo zenu zinauma, mnapoiona nchi yenu ikiwa katika hali ya kukata tamaa kiuchumi, chini ya minyororo ya wakoloni wa IMF, huku raia wengi wakishuka chini ya mstari wa umaskini, wakishindwa kukidhi mahitaji ya chakula kwa familia zao.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu