Jumanne, 28 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/10/01
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon Kikao “Waliohamishwa Ni Ndugu Zetu”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon iliandaa kikao kikubwa katika mji wa Tripoli Ash-Sham, kuanzia Msikiti Mkuu wa Al-Mansouri. Hii ilikuwa ni kueleza mshikamano wao pamoja na waliohamishwa na wakimbizi kutoka Syria, ambao walikimbia ukandamizaji wa utawala wa mhalifu Assad na kutafuta hifadhi kwa ndugu zao nchini Lebanon kutafuta usalama na makaazi hadi wapate fursa ya kuregea kwa heshima na usalama katika nchi yao ambako walilelewa na kukulia.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi “Musiitelekeze Rafah kama Mulivyoitelekeza Gaza!”

Matembezi ya 31 mfululizo, tangu kuanza kwa vita vya Kimbunga cha Al-Aqsa, yalianza mbele ya Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu wa Tunis, ambayo yaliitishwa na Hizb ut-Tahrir/Wilayah Tunisia, kwa watu wa Al-Zaytouna, na kichwa chake kilikuwa“Musiitelekeze Rafah kama Mulivyoitelekeza Gaza!”

Soma zaidi...

Gaza ina Vifusi Vingi kuliko Ukraine, na Dada zetu na Watoto Wetu ndio Wengi wa Wafu Wanaozikwa Chini Yake

Shirika la Wanawake la UN lilitoa ripoti mnamo mwezi Aprili 2024, kuhusu hali ya wanawake na watoto mjini Gaza. Miezi sita ya vita hivyo, zaidi ya wanawake 10,000 wameuawa, kati yao kina mama wanaokadiriwa kufikia 6,000, na kuacha watoto 19,000 wakiwa yatima.

Soma zaidi...

Kadhia ya Palestina na Vita vya Gaza Zilianza Siku ambayo Khilafah Ilisitishwa Suluhisho Lake, Pamoja na Masuala Yote Yanayowakabili Waislamu, Yanaweza Kupatikana Tu kwa Kusimamishwa kwake tena

Leo, hakuna haja ya maelezo ya kina kuhusu jinsi kadhia ya Palestina ilivyoanza na kuasisiwa kwa umbile la Kiyahudi mnamo siku mwaka wa 1948. Vita vya uharibifu huko Gaza, ambako wanadamu, mawe, na miti vinaangamizwa, vimekuwa vikiendelea kwa muda wa miezi saba, ikishuhudiwa na ulimwengu kwa jumla.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina): Qalqilya... Mkutano mkubwa wa Hadhara wa Kuinusuru Gaza na Rafah!

Alasiri ya leo Jumamosi tarehe 18/05/2024, umati mkubwa wa watu kutoka eneo la mkoa huu na maeneo ya jirani walikusanyika katikati ya mji wa Qalqilya, kuitikia wito wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), ambao iliuelekeza kwa watu kuinusuru Gaza na Rafah, kukusanyika katika kisimamo cha halaiki chini ya kichwa, “Enyi Waislamu: Rafah baada ya Gaza Inalilia msaada, basi ifikieni,”

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu