Droni Zilizoundwa Kuua Watoto mjini Gaza
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Dkt. Hadi Bedran, daktari (anaesthetist) wa Uingereza, hivi karibuni alifanya mahojiano juu ya kurudi kwake kutoka Gaza, na aliripoti uchunguzi wake kama mtaalamu wa matibabu. Alisema kwamba aliona majeraha ambayo hajawahi kuyaona katika historia ya kazi yake.