Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 490
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mateso ya dada zetu Waislamu hayavumiliki kwa viwango vyovyote vya kibinadamu. Ni lazima tutambue heshima kubwa na nafasi ya juu ya Mwanawake Muislamu katika Uislamu. Maisha yake, mali na utu wake vyote vinalindwa chini ya hukmu za Sharia na ukiukaji wake ni miongoni mwa haramu kubwa, kama alivyofafanulia Mwenyezi Mungu (swt).
Hizb ut Tahrir / Kenya ingependa kutoa salamu za dhati za Idd ul-Fitr kwa Waislamu nchini Kenya na dunia nzima kwa ujumla. Tunatoa pongezi zetu kwa wabebaji wa Da’wah wa Ummah wanyoofu wanaofanya kazi bila kuchoka kuelekea kusimamisha tena Khilafah Rashida kwa njia ya Utume.
Ni juu ya majeshi ya Waislamu kukusanyika kwenda kuinusuru Gaza, ili wawe sako kwa bako na Umma wa Kiislamu katika kuinusuru Gaza.
Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina): Khutba ya Idd ul-Fitr 1445 H “Bishara Njema kwa Ayyub Gaza!”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Pongezi kwa Mnasaba wa Ujio wa Sikukuu ya Idd ul-Fitr Iliyobarikiwa 1445 H
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Shughuli za Kuutafuta Mwezi Mwandamo wa Shawwal 1445 H
Hizb ut Tahrir / Malaysia: Shughuli za Kuutafuta Mwezi Mwandamo wa Shawwal 1445 H.
Hotuba ya Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah kwa Wanaozuru Ukurasa wake kwa Mnasaba wa Idd ul Fitr iliyobarikiwa ya Mwaka 1445 H sawia na 2024 M.
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Pongezi za Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Ujio wa Idd ul-Fitr Al-Mubarak 1445 H