Jumatano, 25 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi “Ardhi ya Palestina ni ya Kiislamu na Haina Nafasi ya Mazungumzo!”

Maandamano ya 34 mfululizo, tangu kuanza kwa Kimbunga cha Al-Aqsa, yalifanyika mbele ya Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu wa Tunis, ambayo yaliitishwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Tunisia kwa watu wa Zaytouna na kichwa chake kilikuwa “Ardhi ya Palestina ni ya Kiislamu na Haina Nafasi ya Mazungumzo!

Soma zaidi...

Pongezi za Idd Al-Adha Iliyobarikiwa 1445 H

Hizb ut Tahrir inatoa pongezi na baraka zake za dhati kwa Umma wa Kiislamu, wenye kulemewa na majeraha na kustahamili shinikizo la moja kwa moja na lisilo la moja kwa moja la kikoloni. Kwa mnasaba huu, tunawataja makhsusi watu wetu wenye subira mjini Gaza Hashim na kwa jumla katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina, tukimuomba Mwenyezi Mungu azifanye siku za Idd hii kuwa chanzo cha utulivu wa nyoyo zao.

Soma zaidi...

Kutokana na Mikutano na Maandamano kote Nchini, Wanafunzi na Watu Jumla Wanataka Ukombozi wa Palestina

Watu jumla na hasa wanafunzi wa ngazi zote, wakiwemo wanafunzi wa vyuo vikuu, vyuo na shule mashuhuri nchini humu, wamekasirishwa na kuendelea kwa mauaji ya Waislamu wa Palestina na umbile lililolaaniwa la Kiyahudi, na kutokana na mikutano mbalimbali, maandamano yenye mfano minyororo ya kibinadamu, wanataka ukombozi wa Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir Wazuru Makao Makuu ya Shirika la Leba la Tunisia

Mnamo siku ya Alhamisi, tarehe 06/06/2024 M, ujumbe kutoka Hizb ut  Tahrir/Wilayah Tunisia, ukiongozwa na Ustadh Abdul Raouf Al-Amiri, Mkuu wa Afisi ya Kisiasa, Ustadh Yassin Bin Yahya, Mwenyekiti wa Kamati ya Mawasiliano, na Ustadh Muhammad Al-Habib Al-Hajjaji, Mwanachama wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb, ulizuru makao makuu ya Shirika la Leba la Tunisia.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu