Hata Madrasa zetu Haziko Salama Chini ya Ubepari
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 02/02/2024 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliamua kuifunga Madrasa ya Al Habash iliyokuwa maeneo ya Sogea Mbele na Nkuhungu, Dodoma katikati mwa Tanzania kwa tuhuma za kutoa huduma ya elimu katika mazingira hatarishi.