Ijumaa, 27 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Amali za Kiulimwengu za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah 1445 H – 2024 M

Katika mwezi Mtukufu wa Rajab wa mwaka huu, 1445 H - 2024 M, inarudi tena kumbukumbu uchungu ya 103 ya kuvunjwa Dola ya Kiislamu na wahalifu wa Kiarabu na Kituruki, ambayo ilianzishwa na Bwana wa Mitume wote Muhammad, rehma na amani za Mwenyezi Mungu zimshukie, na maswahaba zake watukufu, Mwenyezi Mungu awe radhi nao, na kuondolewa kwa Mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu katika mwaka wa 1342 H sawia na 3 Machi 1924 M

Soma zaidi...

Enyi Ummah wa Muhammad (saw) Je! Ni Kufa Kifo cha Udhalilifu, au Utukufu, Ushindi na Tamkini?!

Enyi Ummah wa Muhammad (saw)! Watu wa Gaza wako baina ya kifo na kifo zaidi. Ikiwa hawatakufa kutokana na mabomu, watakufa kwa njaa, kiu, au watakufa kwa maradhi. Eneo la Kaskazini la Ukanda wa Gaza liko chini ya mzingiro mkali bila ya chakula, maji, au dawa. Kwa hivyo mutafanya nini, Enyi Waislamu?

Soma zaidi...

Jumuiya ya Kimataifa Haijanyanyuka, na Haitanyanyuka! Kwa hivyo Jeshi la Kinana liko wapi Kuwanusuru Ndugu zetu, Bwana Waziri wa Mambo ya Nje?!

Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, wakati wa mkutano na waandishi wa habari na mwenzake wa Ujerumani uliofanyika mnamo Jumanne, Januari 9, 2023, alisema: "Ikiwa mtoto mmoja amejeruhiwa, ilitarajiwa kwamba jumuiya ya kimataifa itakimbilia kuwanusuru na kuwalinda.

Soma zaidi...

Suluhisho Angamivu la Marekani la Dola Mbili Linahalalisha na Kuendeleza tu Jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina

Huku mauaji ya halaiki huko Gaza yakiendelea, kumekuwa na ongezeko la wito kutoka kwa serikali ya Marekani na serikali zingine za Kimagharibi na vile vile Muungano wa Ulaya, Umoja wa Mataifa na watawala wa nchi za Waislamu ili kuongeza juhudi za kulifanya suluhisho la dola mbili kwa Palestina lizae matunda.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu