Ijumaa, 01 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/04
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Wala Msifanye Uvivu Kuwafuatia Maadui kama Mumepata Maumivu Basi Wao Pia Watapata. Na Nyinyi Mnatumai Kwa Mwenyezi Mungu Yale Wasiyoyatumainia

Jumamosi tarehe saba Oktoba mwaka 2023, mashujaa wa ukanda wa Gaza walivuka mipaka ya umbile la Kiyahudi. Walishambulia ngome za adui na hivyo kufanya nyuso zao kuwa nyeusi. Shambulizi hili dhidi ya Jeshi la Kiyahudi limekashifiwa kote duniani ikiwemo Afrika.

Soma zaidi...

Hali Ngumu ya Kiuchumi: Matunda ya Mti Mouvu wa Mfumo wa Kiuchumi wa Kibepari Uliong’olewa Ardhini

Mwaka mmoja baada ya serikali ya Kenya Kwanza kuchukua hatamu za uongozi, hali ya kiuchumi na maisha ya raia wa kawaida imezidi kuwa mbaya. Ni dhahiri shahiri kwamba matarajio makubwa ya wananchi kurahisishiwa gharama za maisha na utawala ulioko mamlakani sambamba na kuondokewa na malimbikizi ya deni la taifa, yamegeuka kuwa mangati/mazigazi.

Soma zaidi...

Je! Sio wakati Sasa, Enyi Jeshi la Kinana, wa Kukata Kiu Yenu ya Kuikomboa Al-Aqsa na Kuswali Humo?!

Watu waliamka jana asubuhi, Jumamosi, kwa vilio na mayowe ya umbile la Kiyahudi kufuatia shambulizi la kundi la Mujahidina kwenye makaazi yaliyozunguka Ukanda wa Gaza, wakichukua udhibiti wake, wakikamata idadi kubwa ya askari wa Kiyahudi, na kuwauwa mamia, na kujeruhi zaidi ya elfu yao

Soma zaidi...

Enyi Jeshi la Tunisia, Msikwepe Jukumu Lenu la Kuliondoa Umbile Nyakuzi la Kiyahudi Mashujaa wa Palestina Wamelitikisa Umbile hili la Adui basi Wanusuruni na Muziangamize Nguzo zake

Mnamo leo asubuhi, Jumamosi, 07/10/2023, siku moja baada ya kumbukumbu ya Vita vya Oktoba, mashujaa wa Ukanda wa Gaza walizindua shambulizi la ghafla na la kufuatana ardhini, baharini, na hewani, pamoja na kurusha makombora 5,000 na mabomu ndani ya dakika 20 za kwanza, katika operesheni inayoitwa kimbunga cha Al-Aqsa.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu