Ijumaa, 27 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Uongozi wa Kijeshi na wa Kiraia Hebu na Uonywe. Kutambua Uwepo wa Umbile la Kiyahudi ni Khiyana kwa Mwenyezi Mungu (swt), Mtume Wake (Saw) na Waislamu. Watawala kama hao ni Wahalifu na Wanastahili Adhabu Kali Hapa Ulimwenguni na Kesho Akhera!

Mnamo tarehe 22 Septemba 2023, Waziri wa Mambo ya nje wa umbile la Kiyahudi, Eli Cohen alisema katika taarifa kwamba "nchi sita au saba" za Waslamu pia ziko tayari kusaini mikataba ya amani na umbile la Kiyahudi, kufuatia kujumuishwa kwa Saudi Arabia katika "makubaliano ya Abraham."

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir Inatoa wito kwa Raia wenye Ufahamu na Watu wenye Ushawishi: Jiungeni na Kongamano la Mtandaoni lenye Kichwa "Njia ya Kutokea - Kutoka kwa Mshiko wa Dhalimu Hasina na Mkoloni Marekani" na Jitokezeni Kutekeleza Miongozo

Siasa na uchumi wa nchi zinapitia shida ambayo tayari imegeuka kuwa mgogoro mkubwa. Mateso ya watu yamepitiliza. Kwa sababu ya kuongezeka kwa bei ya bidhaa watu wa kawaida wanajitahidi kununua hata chakula msingi kama mayai na mkate.

Soma zaidi...

Mahakama ya Kimataifa ya Jinai: Chombo cha Kisiasa, sio cha Kimahakama Uadilifu wa Kweli Unaweza tu Kupatikana Kupitia Utekelezaji wa Sheria za Kiislamu chini ya Khilafah Rashida

Pambizoni mwa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa jijini New York, Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, Karim Khan, alikutana na Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, Mwenyekiti wa Baraza la Enzi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Sudan, mnamo Ijumaa, Septemba 22, 2023.

Soma zaidi...

Kukamatwa kwa Ustadh Khaled al-Loumi, Mwanachama wa Hizb ut Tahrir, huko Sfax Ikiwa huu sio ukamatwaji wa kisiasa, basi ni nini?!

Mnamo Jumatano, Septemba 20, 2023, Kitengo cha Utafiti na Ukaguzi huko SFAX kilimkamata mwanachama mmoja wa Hizb ut Tahrir, ndugu Khaled al-Loumi. Alipokea wito kutoka kwa kitengo kilichotajwa hapo juu na alikataliwa uwepo wa wakili wake wakati wa wito huo.

Soma zaidi...

Dori ya Wanawake ni Kubwa Zaidi kuliko Kupigana katika Vita Visivyo na Maana!

Mnamo Septemba 20, 2023, Chaneli ya Al Jazeera ilipeperusha picha kutoka katika sherehe ya kuhitimu ya kundi la kwanza la wanawake waliohamasishwa wilayani Marawi katika jimbo la kaskazini, kuitikia wito wa Mkuu wa Majeshi, Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, kuwahamasisha watu kupigana pamoja na jeshi!

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu