Jumanne, 05 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/08
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Vichwa vya Habari 14/12/2022

Taharuki umezuka tena huko Kosovo kaskazini huku mamia ya Waserbia wakiweka vizuizi vya barabarani kwa kutumia mashini nzito katika vivuko viwili vya mpaka na Serbia, na kuzuia magari. Haya yanajiri kutokana na mvutano wa hivi majuzi wakati Kosovo ilipoamuru madereva kusalimisha nambari zao za leseni zilizotolewa na Serbia na badala yake kuweka nambari za Kosovo.

Soma zaidi...

Chini ya Vichwa vya Kutiliwa Shaka kama vile Jinsia, na chini ya Kisingizio cha Kutiliwa Shaka cha Mikataba ya Kimataifa! Jamii na makundi yanayofadhiliwa na Magharibi yanajaribu kueneza sumu yao miongoni mwa Waislamu

Siku chache zilizopita, tuliona makundi, vyama, na taasisi zinazofungamana na Umoja wa Mataifa zikifanya kampeni zenye vichwa vinavyobeba maana zinazokinzana na herufi za kimsingi za Waislamu kwa upande mmoja, na hazina uhalisia wowote miongoni mwetu kwa upande mwingine.

Soma zaidi...

Watoto wa Afghanistan: Wamenaswa katikati ya Kuuwawa na Njaa

Mnamo tarehe 30 Novemba, takriban watu 17 waliuawa na wengine 26 kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu katika madrasa huko Aybak, mji mkuu wa mkoa wa Samangan kaskazini mwa Afghanistan. Wengi wa waliouawa wanaaminika kuwa watoto wenye umri wa miaka 9-15. Katika kipindi cha miezi 15 iliyopita, kumekuwa na mashambulizi kadhaa dhidi ya madrasa, ikiwemo mikoa ya Mazar-e-Sharif, Balkh na Kunduz.

Soma zaidi...

Achaneni na Vijana na Wanawake wetu! Wanawake wa Palestina Wanapinga Mipango ya Mashirika ya Wanawake katika Shule zetu na Wanataka Yaondolewe Mashuleni

Kitabu, ‘The Handbook against Child Marriage’, kilichotayarishwa na Kituo cha Mafunzo ya Wanawake nchini Palestina chini ya mpango uliopewa jina la Haya unaofadhiliwa na shirika la Ujerumani la Brot für die Welt - ReliefWeb [Bread for the World – Protestant Development Service] na kwa ushirikiano na Wizara ya Elimu ya Mamlaka ya Palestina inawalenga wanafunzi wa kiume na wa kike kuanzia darasa la saba hadi la kumi na moja

Soma zaidi...

Wanajeshi na Raia Watia Saini Khiyana kwa Mwenyezi Mungu, Mtume Wake na Waumini

Wanajeshi na baadhi ya vikosi duni vya kiraia wakiongozwa na Vikosi vya Uhuru na Mabadiliko walitia saini rasimu ya makubaliano ya kisiasa ambayo yanafungua njia ya kuanzishwa kwa serikali ya kiraia kwa kipindi cha mpito. Makubaliano hayo yalishuhudiwa na mashahidi wa uongo kutoka kwa pande tatu; Volcker na washirika wake, Quartet; Marekani na Uingereza, na wafuasi wao Saudi Arabia na Imarati, na mwakilishi wa Muungano wa Ulaya.

Soma zaidi...

Mkakati wa Kutambaa kwa Mchwa Unasalia Kuthibitishwa hadi Uavyaji wa Mapinduzi ya Ash-Sham... Jihadharini!

Duru rasmi za Kituruki ziliiambia Al-Jazeera kwamba Uturuki iliweka masharti ya kujiondoa kwa kile kinachojulikana kama Vikosi vya Kidemokrasia vya Syria – ambavyo kimsingi vinajumuisha Vikosi vya Ulinzi vya Watu wa Kikurdi (YPG) - kutoka Manbij, Ayn al-Arab Kobani na Tal Rifaat kaskazini mwa Syria.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu