Utawala wa Magharibi na Uhalalishaji wa Haki za LGBT nchini Japan: Funzo kwa Waislamu
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Japan ilipitisha mswada wenye utata unaolenga kukuza ufahamu wa jumuiya ya LGBT, licha ya ukosoaji kwamba inakosa hakikisho la haki za binadamu na inaweza kuunga mkono ubaguzi kwa njia isiyo ya moja kwa moja.