Jibu la Swali Usahihi wa Hadith: "Watakuja Watu Siku ya Kiyama, Imani yao itakuwa ya Kustaajabisha...”
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kimfumo
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Nilikuwa nikitafuta usahihi wa Hadith hii, lakini sikuweza kupata usahihi ulio kwa maneno haya, kwa hivyo tafadhali nisaidie.
(Siku ya Kiyama, watakuja watu imani yao itakuwa ya kustaajabisha, nuru yao itatoka mikononi mwao na mikononi mwao ya kulia, na itasemwa: Leo mnafurahi, na amani iwe juu yenu ingieni humo milele, Malaika na Manabii watawaonea wivu kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu kwao. Basi, maswahaba wakauliza ni kina nani hao ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu?